Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,194
🤣🤣🤣Mbona sioni kimba zilizoongozana barabarani mitaa ya mwenge? Au umeanza kwa kukojoa kwanza?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Mbona sioni kimba zilizoongozana barabarani mitaa ya mwenge? Au umeanza kwa kukojoa kwanza?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe si TV mtazamaji
Hahahaaaaaaa, bila shaka utakuwa umejificha kabisa huonekaniYani hata uganda wakituachia lesotho watakaza tu washinde sisi tusishinde tu MUNGU saidia tupigwe tusiende popote kuna dhuluma na ushenzi mwingi ubaendelea nchi yetu tupigwe tu kabisa
Mkuje mfute hizi kauliHatuna kikosi cha kumfunga Uganda labda watuonee huruma tu.
Cc; Kaguta M7
Kama nakuona vile Mungu ambavyo amekuumbuaHata wakituonea huruma lesotho atakaza, Kwa mabaya tunayofanyiwa hii nchi hakuna cha uzalendo tufungwe tu
Born and raised, ukweli mchungu.
Haya, leta hicho kinyeo hapaYani hata uganda wakituachia lesotho watakaza tu washinde sisi tusishinde tu MUNGU saidia tupigwe tusiende popote kuna dhuluma na ushenzi mwingi ubaendelea nchi yetu tupigwe tu kabisa
Oya nadhan umefika ubungo saiv unakunya kuelekea uwanja wa ndege...au hujaanza!Yani hata uganda wakituachia lesotho watakaza tu washinde sisi tusishinde tu MUNGU saidia tupigwe tusiende popote kuna dhuluma na ushenzi mwingi ubaendelea nchi yetu tupigwe tu kabisa
CC;kulegezewa waganda wameanzisha mijadala kwenye platform zao za kimtandao wanasema tutawachukulia poa
🤣🤣🤣🤣Kuja ufike Tazara kinyeo kitakuwa kimechemka chekunduuu kama cha chonja.