Anza kunya kabisa, ila kumbuka kuzoa usitoe uharo utanata ukikauka barabarani iwe tabu ukija kuzoa
Hata kama tumelegezewa, tumefunga magoli ya mkono, tumebebwa na mbeleko ila tumefuzu afcon baada ya miaka 39, Acha waseme yote wanayosema midomo yao banaCC;kulegezewa waganda wameanzisha mijadala kwenye platform zao za kimtandao wanasema tutawachukulia poa
Aibu katia brazil kafungw saba kwake na ujerumani itkw Tz bhn.Nilikuwa nikitaka sana Tanzania ifuzu ila kule tutatia aibu hatuna timu ya kushindana.
Ccm tena?.. acha tuvute udi nusu bei kwanza.1. Simba kasonga mbele
2. Taifa stars kasonga mbele
3. ccm mbele kwa mbele
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu wapo tayari kushangilia SENEGAL ya Sadio Mane kuliko TANZANIA ya Mbwana Samatta... Tena mtanzania kabisa.Haiwezekani Ulikane Taifa lako kisa uoga wa kipumbavu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hili ni Agano, litakusumbua sana kama usipolitekeleza.Yani hata uganda wakituachia lesotho watakaza tu washinde sisi tusishinde tu MUNGU saidia tupigwe tusiende popote kuna dhuluma na ushenzi mwingi ubaendelea nchi yetu tupigwe tu kabisa
hata kama amemaliza mavi... apite amepanua matako yake kudhiirisha kweli kaanzia mbali kunya.