Tukifuzu AFCON mechi ya leo nakunya kuanzia Mwenge hadi uwanja wa ndege

Niko mwenge natazama mzigo wa mimavi ya huyu dogo siuoni. Dogo usipotekeleza ahadi yako usijerudi tena huko utapata laana kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niko mwenge natazama mzigo wa mimavi ya huyu dogo siuoni. Dogo usipotekeleza ahadi yako usijerudi tena huko utapata laana kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
"😡~$& umeziba kwani alikula mahindi mengi ya kuchoma. Hakuna kinachotoka na yuko taabani kitandani anagumia maumivu ya kuvimbiwa.
 
Ulitaka ntoe ahadi ya kukuoa?
Ahadi aliyoitoa bar shite umeona ni ya maana?
Hakuna kuhamisha magoli, hiyo ahadi ya mtu mwingine itafunguliwa uzi mwingine, huu ni wako. Ndio mkome kutoa ahadi za kijinga. Nyie ndio mnaobetia wake zenu, jinga kabisa
 
Can you say this again? Akili zako ndogo sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Matola huwa nakuheshimu sana hasa kutokana na misimamo yetu kisiasa. Lakini nikiri kukuheshimu inaweza isimaanishe wewe ni mtu makini. Mimi nimetoa maoni yangu,kitu ambacho huwezi kunipangia huna mamlaka hayo kisheria na kivyovyote,sijatukana na sijaingilia uhuru wako.

Sasa nikuulize kwa nini uniite akili ndogo. Tabia yako ya kurukia watu wenye maoni tofauti na wewe tena kwa kutukana ni ya kipuuzi sana,isitoshe wewe ni mtu mzima na ulikuwa na heshima fulani humu(licha ya kushindwa kuitunza).

Mwisho wa matokeo tumekubalia wote kwamba mpira ulichezwa,lakini huna mamlaka ya kunipangia maoni ya kutoa,na ndio misingi ya JF,kukutanisha watu wenye maoni tofauti. No friction no movement.
Am sorry to say,you are no longer a great thinker. Mbona kuna posts kibao wamenijibu bila ya kebehi?Fuatilia posts zangu humu,ushindi wa stars tumeufurahia sote.

Ungeweza kunipa changamoto pasipo kunitukana/kunikebehi kwamba nina akili ndogo. Kama kila mtu atafanya hivyo humu basi JF itakuwa Jukwaa la Vichaa/walevi.
 
Hata kama tumelegezewa, tumefunga magoli ya mkono, tumebebwa na mbeleko ila tumefuzu afcon baada ya miaka 39, Acha waseme yote wanayosema midomo yao bana

Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee mkuu hatuna timu ya kwenda kushindana, hivi UG wangekuwa wanahitaji point tatu wangecheza vile?
 
Kunya,jifute vzr then tembea na mafuta ya KY ukamilishe furaha yako.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…