Bensoy
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 576
- 622
Niko mwenge natazama mzigo wa mimavi ya huyu dogo siuoni. Dogo usipotekeleza ahadi yako usijerudi tena huko utapata laana kubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀😀😀 utakuwa wewe mkuu nishakutilia shakaJF bn, aliyeahidi kunya mavi kama Taifa Stars itashinda kala ubuyu na ID yake ya kufungulia uzi, kaja na ID mpya tena akihamasisha kukumbusha makimba yake[emoji28][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
"😡~$& umeziba kwani alikula mahindi mengi ya kuchoma. Hakuna kinachotoka na yuko taabani kitandani anagumia maumivu ya kuvimbiwa.Niko mwenge natazama mzigo wa mimavi ya huyu dogo siuoni. Dogo usipotekeleza ahadi yako usijerudi tena huko utapata laana kubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀😀😀😀 utakuwa wewe mkuu nishakutilia shaka
Hakuna kuhamisha magoli, hiyo ahadi ya mtu mwingine itafunguliwa uzi mwingine, huu ni wako. Ndio mkome kutoa ahadi za kijinga. Nyie ndio mnaobetia wake zenu, jinga kabisaUlitaka ntoe ahadi ya kukuoa?
Ahadi aliyoitoa bar shite umeona ni ya maana?
Matola huwa nakuheshimu sana hasa kutokana na misimamo yetu kisiasa. Lakini nikiri kukuheshimu inaweza isimaanishe wewe ni mtu makini. Mimi nimetoa maoni yangu,kitu ambacho huwezi kunipangia huna mamlaka hayo kisheria na kivyovyote,sijatukana na sijaingilia uhuru wako.
Afcon tunakwenda kushiriki au kushindana?
Aiseee mkuu hatuna timu ya kwenda kushindana, hivi UG wangekuwa wanahitaji point tatu wangecheza vile?Hata kama tumelegezewa, tumefunga magoli ya mkono, tumebebwa na mbeleko ila tumefuzu afcon baada ya miaka 39, Acha waseme yote wanayosema midomo yao bana
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi Mkuu ushaanza safari yako ya KunyaYani hata uganda wakituachia lesotho watakaza tu washinde sisi tusishinde tu MUNGU saidia tupigwe tusiende popote kuna dhuluma na ushenzi mwingi ubaendelea nchi yetu tupigwe tu kabisa
😀😀Mmemuona mpumbavu uyu, baada atoe ahadi vitu vya maana, yeye anataka anye njiani
Sent using Jamii Forums mobile app
Asukumiwe ndani😅😆