"Labda watuonee huruma"Umekiona kikosi?
Mimi ni mtanzania na nafurahia mema ya timu yetu ila hatuna kiwango kabisaaaaaa review tena clip ya penati uone hakugusa mpira
Kunya sasaYani hata uganda wakituachia lesotho watakaza tu washinde sisi tusishinde tu MUNGU saidia tupigwe tusiende popote kuna dhuluma na ushenzi mwingi ubaendelea nchi yetu tupigwe tu kabisa
Kuna kulegeza ndiyo huruma yenyeweKwenye Mpira hakunaga huruma, Labda kama mnacheza lede..
Nilikuwa nikitaka sana Tanzania ifuzu ila kule tutatia aibu hatuna timu ya kushindana.Pole sana. Ndiyo tumeshafuzu sasa. Hakuna namna. Timu yetu ni nzuri isipokuwa upangaji wa timu mechi za nyuma ulikuwa ni kikwazo. Leo kocha amepanga kikosi ambacho hata sisi tulikipendekeza kabla ya hii mechi. Na matokeo tumeyaona. Taifa Stars oyeeee!!!!!
Yani hata uganda wakituachia lesotho watakaza tu washinde sisi tusishinde tu MUNGU saidia tupigwe tusiende popote kuna dhuluma na ushenzi mwingi ubaendelea nchi yetu tupigwe tu kabisa
Vipi?Yani hata uganda wakituachia lesotho watakaza tu washinde sisi tusishinde tu MUNGU saidia tupigwe tusiende popote kuna dhuluma na ushenzi mwingi ubaendelea nchi yetu tupigwe tu kabisa
Haya sasa anza kunya kuanzia mwenge mpaka airport fara mkubwa wewe tena ninawasiwasi na wewe kuwa sio mtanzania halisi na hauna uzalendo kabisa , haya sasa uganda kapigwa tatu na cape verde wametoa suluhu na tuna gwenda huko kifua mbele , na unatakiwa kujua umoja ni nguvu na tukiamua tunaweza kama tulivyo amua.Yani hata uganda wakituachia lesotho watakaza tu washinde sisi tusishinde tu MUNGU saidia tupigwe tusiende popote kuna dhuluma na ushenzi mwingi ubaendelea nchi yetu tupigwe tu kabisa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
KWA HIYO WE ROHO INAKUUMA SANA TANZANIA KU QUALIFYOna sasa Mjinga anajibiwa kwa Ujinga tafadhali kama huna hoja kausha vinginevyo utapata ujinga unaoutafuta.
Yani hata uganda wakituachia lesotho watakaza tu washinde sisi tusishinde tu MUNGU saidia tupigwe tusiende popote kuna dhuluma na ushenzi mwingi ubaendelea nchi yetu tupigwe tu kabisa