Tukifuzu AFCON mechi ya leo nakunya kuanzia Mwenge hadi uwanja wa ndege

Mimi ni mtanzania na nafurahia mema ya timu yetu ila hatuna kiwango kabisaaaaaa review tena clip ya penati uone hakugusa mpira

Pole sana. Ndiyo tumeshafuzu sasa. Hakuna namna. Timu yetu ni nzuri isipokuwa upangaji wa timu mechi za nyuma ulikuwa ni kikwazo. Leo kocha amepanga kikosi ambacho hata sisi tulikipendekeza kabla ya hii mechi. Na matokeo tumeyaona. Taifa Stars oyeeee!!!!!
 
Nilikuwa nikitaka sana Tanzania ifuzu ila kule tutatia aibu hatuna timu ya kushindana.
 
Yani hata uganda wakituachia lesotho watakaza tu washinde sisi tusishinde tu MUNGU saidia tupigwe tusiende popote kuna dhuluma na ushenzi mwingi ubaendelea nchi yetu tupigwe tu kabisa

Hahahhaahhaha akiba ya maneno ni busura. Hahahahhaah. Utakunya hadi utumbo mdogo.
 
Yani hata uganda wakituachia lesotho watakaza tu washinde sisi tusishinde tu MUNGU saidia tupigwe tusiende popote kuna dhuluma na ushenzi mwingi ubaendelea nchi yetu tupigwe tu kabisa
Haya sasa anza kunya kuanzia mwenge mpaka airport fara mkubwa wewe tena ninawasiwasi na wewe kuwa sio mtanzania halisi na hauna uzalendo kabisa , haya sasa uganda kapigwa tatu na cape verde wametoa suluhu na tuna gwenda huko kifua mbele , na unatakiwa kujua umoja ni nguvu na tukiamua tunaweza kama tulivyo amua.

Mr. Risk Taker
 
Back
Top Bottom