Nimkimbilie nani
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 5,996
- 6,290
😀😀😀😀 sawa nanga mstaafuUmesikika Nanga Mstaafu, usirudie tena kuwa na roho mbaya hivyo dogs[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀😀 sawa nanga mstaafuUmesikika Nanga Mstaafu, usirudie tena kuwa na roho mbaya hivyo dogs[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan tulipotoa sare kwao hawakua wanataka point na je wangekua wanataka point wangechezaje mana mpra waliocheza n wa kila sku wanaochezaAiseee mkuu hatuna timu ya kwenda kushindana, hivi UG wangekuwa wanahitaji point tatu wangecheza vile?
Umeona ports tuliyowekwa huko? Na ya waganda umeiona? Sisi ni underdog😂😂😂Kwan tulipotoa sare kwao hawakua wanataka point na je wangekua wanataka point wangechezaje mana mpra waliocheza n wa kila sku wanaocheza
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kafika wapi kunya huyo Jamaa?Mmemuona mpumbavu uyu, baada atoe ahadi vitu vya maana, yeye anataka anye njiani
Sent using Jamii Forums mobile app
Alipitia Sinza.. Kama nilimuona mitaa ya makaburini akipumzisha kidogo..
hivi haijawekwa hadi leo??😆😆😆🤣🤣🤣🤣🤣Weka picha Mkuu 😜
JAMAA KAUKIMBIA UZI🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mkuu ulifanikiwa kunya.....???!!! Na je baada ya kunya kwa umbali wote huo ulibaki salama....??!!!!Yani hata uganda wakituachia lesotho watakaza tu washinde sisi tusishinde tu MUNGU saidia tupigwe tusiende popote kuna dhuluma na ushenzi mwingi ubaendelea nchi yetu tupigwe tu kabisa
Mkuu hata kinyerezi hakuonekana , cjui kapita wap huyuBuguruni hukupita au ulibadili route ukapita Kinyerezi?