Tehe tehe tehe!kenya hakuna masikini?Huyu mnamtesa bure, mbona hamufukuzi wazazi wake, nyie hizi chuki zenu zitasababisha mtafunane wenyewe, na ndio maana mpo maskini pamoja na raslimali mlizonazo.
I pity this guy! However there is a matter of concern. It's obvious that someone can't be denied their citizenship because of their names. After all, luo is one of our tribes.I heard somewhere this guy is going to be helped by a lawyer free of charge..I hope he is helped since their is no record of him renouncing his citizenship....Don’t children inherit citizenship from their parents?One would have thought.Don’t know the regulations..Since there is no question of his parentage then this could be solved...Let me read the Immigration regulations and call some lawyers..Poor guy..
Hehehe Labda kwa mtu asiyewajua nyie, kwanza chuki yenu ni mbaya sana maana huwa mnaificha kinafiki na kuitana mkuu na kuamkuana shikamoo na mengine yote ya kiustaarab huku mkichimbana balaa.
Sasa huyu hapa wivu tu hadi mkaona mumzushie uraia.
Mzee wadanganye wanaoijua Kenya kwa kuisoma kwenye ramani. Lakini kwa anayeijua vizuri hasa nairobi anajua ubaguzi mlionao, na ubaguzi huo huo ndo unasababisha mchukiane. Wapwani wanajua shida wanayoipata. Au hujui kuwa chanzo mojawapo cha wao kutaka kujitenga ni kwa sababu ya ubaguzi na chuki zenu hasa nyie wakikuyu?
Kwa sababu ya chuki zenu hata hamtaki baadhi ya makabila washike nyadhifa za juu serikalini. Mnachukiana hadi hamuwezi kuona baadhi ya makabila, mkikuyu hawezi kununua kitu kwenye duka la mluo. Vitu vingine ni aibu kabisa hata kusema, hadi wengine hawali samaki kina zinavuliwa na adui zao.
Sasa unasema huyu tunamchukia sijui kwa lipi. Ngoja wanasheria wamsaidie apate haki yake.
Halafu Kuitana mkuu ni ustaarabu wa kitanzania ambao kenya hautakuja utokee maana hamna anayemjali mwenzake. Mkianza na chuki za kikabila
I pity this guy! However there is a matter of concern. It's obvious that someone can't be denied their citizenship because of their names. After all, luo is one of our tribes.
But then, think about this; why did he run to Kenya just after his citizenship was denied? It's like he has connections there.
BTW, lawyers will help him to get his rights.
Tangu lini ukaona mtu akifukuzwa na kuelekezwa sehemu ya kwenda kama hana uraia wa hiyo nchi? Yeye ndo aseme kwa nini alikuja huko,Wacha kupindisha, wenyewe mumemfukuza na kumuelekeza Kenya. Sasa wazazi wamebaki huko miaka yote hii yangu mumtupe nje.
Sioni hii Kenya vs Tanzania inatokea wapi. Kama wazazi wake ni watanzania, kazaliwa Tanzania , na haja ukana utanzania sioni kwa nini uraia wa Tanzania usimhusu. Hata baada ya mahakama kuamua kesi tunatetea ujinga. Kama serikali hairidhiki na ruling wakate rufaa na sio kutumia nguvu za dola isivyo.
Hivi kwanini wakenya wanapenda sana kuitwa watanzania? Kuna wakenya lukuki wamekamatwa wakifake taarifa ili kupata national ID ya Tanzania kuna wakenya personally wananiambia wanaipenda sana Tanzania na wapo tayari kuukana ukenya actually they are well off sio kama maisha yamewashinda huko Kenya
Kama ishu ni Majina na Sio uzaliwa basi zaidi ya nusu ya Watanzania ni Raia wa Ulaya maana akina John Sio majina ya kitanzania
Ukimuona bila hilo likofia lake lazima utasumbuliwa na ndoto mbaya usiku. Yaani kichwa kimejaa alama za kuchanja chanjwa, ukizitizama kwa mbali unajua tu bila shaka huyu jamaa alikuwa anafanya kazi ya wizi kwenye mashamba ya miwa. 😀Miguna lile li kofia lake ni kama gaidi.Sijui analipendea nini au ndio uchawi wake?
‘Stateless’ man unwanted by Kenya and Tanzania wins court case - Nairobi NewsI pity this guy! However there is a matter of concern. It's obvious that someone can't be denied their citizenship because of their names. After all, luo is one of our tribes.
But then, think about this; why did he run to Kenya just after his citizenship was denied? It's like he has connections there.
BTW, lawyers will help him to get his rights.
100% correct..Sioni hii Kenya vs Tanzania inatokea wapi. Kama wazazi wake ni watanzania, kazaliwa Tanzania , na haja ukana utanzania sioni kwa nini uraia wa Tanzania usimhusu. Hata baada ya mahakama kuamua kesi tunatetea ujinga. Kama serikali hairidhiki na ruling wakate rufaa na sio kutumia nguvu za dola isivyo.
Mkuu acha kutamani mabinti zetu utatuongezea watoto wasio na nchiJina lako tamu hadi natamani kulitaja taja, tatizo huwa una misimamo mikali hadi nashuku kama wewe kweli mtoto wa ke....