C mabasi tu mkuu wa kazii hataa hayo magari yenu binafsii,,,kiufupi sheria ikifata mkondo wakee magari barabarani yatakuwa machache sana Tz .mtakagua mabasi ya dar es salaam
Nyingine hii hapa waje waichukueNimeona itv KUNA zoezi linaendelea kwa kukagua madalaldala kila mji
Niwajuze tu kama mtakagua mabasi ya dar es salaam YAAN zile ofisi zitajaa mabasi mpaka tuchoke
NASHAURI hukoo zoezi liishie tu huko mikoano else watu watakosa kazi kama sio kufukuzwa kwa kuchelewa kazini
All d best
Yaaan kabisaa mkuuu nimeona nitoe witoo kwa RTO kuliangalia hiliii maanaC mabasi tu mkuu wa kazii hataa hayo magari yenu binafsii,,,kiufupi sheria ikifata mkondo wakee magari barabarani yatakuwa machache sana Tz .
Hvyo hatuna budi kubebanaa mkuuu
Na askari wa Tz wanajua sana kufanya kaguzi, hakuna gari itatembea road. Kila gari itakuwa na shidaC mabasi tu mkuu wa kazii hataa hayo magari yenu binafsii,,,kiufupi sheria ikifata mkondo wakee magari barabarani yatakuwa machache sana Tz .
Hvyo hatuna budi kubebanaa mkuuu
Nashauri zoezi liishie tu huko mikoani maana watu watakosa kazi kama sio kufukuzwa kwa kuchelewa kazini.
Inakera sana hili jambo mpwa.. Umejilawa uwahi mishe ukapata gari kwa wakati na dereva anayejua kwenda na muda.. Halafu mnakuja kucheleweshwa na hawa wakaguziNimeona ITV kuna zoezi linaendelea kwa kukagua daladala kila mji.
Niwajuze tu kama mtakagua daladala za Dar es salaam yaani zile ofisi zitajaa mabasi mpaka tuchoke.
Nashauri zoezi liishie tu huko mikoani maana watu watakosa kazi kama sio kufukuzwa kwa kuchelewa kazini.
Tatizo wanakagua vitu ambavyo si vya msingi. Mfano pale NIT wanapokagua magari yanayoingia nchini,wanaweza kuinyima gari usajili kisa eti bush za wishbone zina Crack! Sasa bush ni kitu cha kuzuia gari kutembea? Kwa utaratibu huu gari itakayopass ukaguzi wao ni ile brand new iliotoka showroom leoKila MTU anajua ubovu wa GARI yake...nov 26 tuliitwa na mzabuni wa kusafirisha vifaaa vya wapiga kura kusambaza wilayani...picha linaanza transport officer anamsubiri rto na timu yake waje kukagua magari.... We mafuso na.makenta...hawakuonekana madereva wakasema Mambo ya leseni hatukagui tunakagua GARI wakasogea...kila GARI ilikuwa mbovu....mzabuni akasema Kama ukaguzi NI huo naondoa gari ...wakawaza hakuna atakayeleta gari yake ije ilkaguliwe na vehicle labda iwe imetoka show room hivyo watakosa gari.
Ukaguzi ukawa wa kiaina watu wakasambaza na kurudi salama..