Tukikagua kila daladala hapa Dar watu wengi mtafukuzwa kazi kwa kuchelewa

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Nimeona ITV kuna zoezi linaendelea kwa kukagua daladala kila mji.

Niwajuze tu kama mtakagua daladala za Dar es salaam yaani zile ofisi zitajaa mabasi mpaka tuchoke.

Nashauri zoezi liishie tu huko mikoani maana watu watakosa kazi kama sio kufukuzwa kwa kuchelewa kazini.
 
Kibaskel changu Kimechokaaaa..... usipimeeee mzeeee
 
Nimeona itv KUNA zoezi linaendelea kwa kukagua madalaldala kila mji

Niwajuze tu kama mtakagua mabasi ya dar es salaam YAAN zile ofisi zitajaa mabasi mpaka tuchoke

NASHAURI hukoo zoezi liishie tu huko mikoano else watu watakosa kazi kama sio kufukuzwa kwa kuchelewa kazini

All d best
Nyingine hii hapa waje waichukue
Screenshot_20250114_205700_Photos.jpg
 
C mabasi tu mkuu wa kazii hataa hayo magari yenu binafsii,,,kiufupi sheria ikifata mkondo wakee magari barabarani yatakuwa machache sana Tz .

Hvyo hatuna budi kubebanaa mkuuu
Yaaan kabisaa mkuuu nimeona nitoe witoo kwa RTO kuliangalia hiliii maana
Napitatu
 
NASHAURI kama wakianza dar wasaidie kupatikana mabasi mbadala kabla ya zoezi maana wengine
 
C mabasi tu mkuu wa kazii hataa hayo magari yenu binafsii,,,kiufupi sheria ikifata mkondo wakee magari barabarani yatakuwa machache sana Tz .

Hvyo hatuna budi kubebanaa mkuuu
Na askari wa Tz wanajua sana kufanya kaguzi, hakuna gari itatembea road. Kila gari itakuwa na shida
 
Nimeona ITV kuna zoezi linaendelea kwa kukagua daladala kila mji.

Niwajuze tu kama mtakagua daladala za Dar es salaam yaani zile ofisi zitajaa mabasi mpaka tuchoke.

Nashauri zoezi liishie tu huko mikoani maana watu watakosa kazi kama sio kufukuzwa kwa kuchelewa kazini.
Inakera sana hili jambo mpwa.. Umejilawa uwahi mishe ukapata gari kwa wakati na dereva anayejua kwenda na muda.. Halafu mnakuja kucheleweshwa na hawa wakaguzi
 
Kila MTU anajua ubovu wa GARI yake...nov 26 tuliitwa na mzabuni wa kusafirisha vifaaa vya wapiga kura kusambaza wilayani...picha linaanza transport officer anamsubiri rto na timu yake waje kukagua magari.... We mafuso na.makenta...hawakuonekana madereva wakasema Mambo ya leseni hatukagui tunakagua GARI wakasogea...kila GARI ilikuwa mbovu....mzabuni akasema Kama ukaguzi NI huo naondoa gari ...wakawaza hakuna atakayeleta gari yake ije ilkaguliwe na vehicle labda iwe imetoka show room hivyo watakosa gari.
Ukaguzi ukawa wa kiaina watu wakasambaza na kurudi salama..
 
Tatizo wanakagua vitu ambavyo si vya msingi. Mfano pale NIT wanapokagua magari yanayoingia nchini,wanaweza kuinyima gari usajili kisa eti bush za wishbone zina Crack! Sasa bush ni kitu cha kuzuia gari kutembea? Kwa utaratibu huu gari itakayopass ukaguzi wao ni ile brand new iliotoka showroom leo
 
Back
Top Bottom