Mbishi 4 real
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 640
- 651
Kuna hii tabia ya mtu kujifanya anakujua sana na kuanza kujifanya anakuuliza ooh siku hizi uko unafanya issue gani au unaishi wapi and stuffs like that.
Kama ulihitaji kujua kwamba nipo wapi au nafanya issue gani kwasasa ya kuingiza kipato ungekua unanipigia simu au tunawasiliana kabla hata ya kukutana kwenye matukio kama msiba n.k.
Umekuja msibani fuata kilichokuleta, masuala ya kupeleleza watu wanaishije kwasasa wakati hujawahi kuwasaidia hata Tshs 10 yako nyekundu huo ni umama mwisho wa siku utakuja kuvalishwa kanga.
Wenye tabia hizi mnajijua humu nadhani ujumbe umewafikia.