Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi hata msiba ukiupotezea kabisa wasikuone mazima?Kuna hii tabia ya mtu kujifanya anakujua sana na kuanza kujifanya anakuuliza ooh siku hizi uko unafanya issue gani au unaishi wapi and stuffs like that.
Kama ulihitaji kujua kwamba nipo wapi au nafanya issue gani kwasasa ya kuingiza kipato ungekua unanipigia simu au tunawasiliana kabla hata ya kukutana kwenye matukio kama msiba n.k.
Umekuja msibani fuata kilichokuleta, masuala ya kupeleleza watu wanaishije kwasasa wakati hujawahi kuwasaidia hata Tshs 10 yako nyekundu huo ni umama mwisho wa siku utakuja kuvalishwa kanga.
Wenye tabia hizi mnajijua humu nadhani ujumbe umewafikia.
Kuna hii tabia ya mtu kujifanya anakujua sana na kuanza kujifanya anakuuliza ooh siku hizi uko unafanya issue gani au unaishi wapi and stuffs like that.