Mbishi 4 real
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 640
- 651
Aaaa jamaa yangu!Yani kukudodosa kote kule nilikuwa simaanishi kukupeleleza kiviiilee.Mwisho nilitaka nikupige kizinga cha msimbazi tu.Nisingekufuatilia tena.Niamini mimi bulaza!Kuna hii tabia ya mtu kujifanya anakujua sana na kuanza kujifanya anakuuliza ooh siku hizi uko unafanya issue gani au unaishi wapi and stuffs like that
Kama ulihitaji kujua kwamba nipo wapi au nafanya issue gani kwasasa ya kuingiza kipato ungekua unanipigia simu au tunawasiliana kabla hata ya kukutana kwenye matukio kama msiba n.k
Umekuja msibani fuata kilichokuleta, masuala ya kupeleleza watu wanaishije kwasasa wakati hujawahi kuwasaidia hata Tshs 10 yako nyekundu huo ni umama mwisho wa siku utakuja kuvalishwa kanga
Wenye tabia hizi mnajijua humu nadhani ujumbe umewafikia
🤓🤓😂Aaaa jamaa yangu!Yani kukudodosa kote kule nilikuwa simaanishi kukupeleleza kiviiilee.Mwisho nilitaka nikupige kizinga cha msimbazi tu.Nisingekufuatilia tena.Niamini mimi bulaza!
Self awareness & confidence!Unakataa usijulikane kumbe mtu anataka mfahamiane zaidi akusaidie/akuinue.Wanapiga teke bahati zinazoletwa miguuni/malangoni pao kwa kukosa maarifa.Masikini ya Mungu.Tatizo mnaamini sana kwenye uchawi
Ukimuambia mtu unafanya kazi sehemu flani shida ikowapi?
Unaogopa atakuloga? Aisee
Maswali ya kukwepa ni yale ambayo yako binafsi sana
Kwani "umama" ni mbaya?We nae mkuda tu ulishindwa nini kumpasha huko mlikokuwa unakuja kuhara humu?? Acha umama
Kwa mujibu wa mada ni mbaya ndio maana nimelitumia kwakeKwani "umama" ni mbaya?
Ana uzungu mwingi.Hapendi kuongeaongea wala kumfokea mtu mbele za watu.Ungempa live hapo hapo huku hawezi kukusikia au kusoma huu uzi
Poa blaza kausha yameisha..!Kuna hii tabia ya mtu kujifanya anakujua sana na kuanza kujifanya anakuuliza ooh siku hizi uko unafanya issue gani au unaishi wapi and stuffs like that.
Kama ulihitaji kujua kwamba nipo wapi au nafanya issue gani kwasasa ya kuingiza kipato ungekua unanipigia simu au tunawasiliana kabla hata ya kukutana kwenye matukio kama msiba n.k.
Umekuja msibani fuata kilichokuleta, masuala ya kupeleleza watu wanaishije kwasasa wakati hujawahi kuwasaidia hata Tshs 10 yako nyekundu huo ni umama mwisho wa siku utakuja kuvalishwa kanga.
Wenye tabia hizi mnajijua humu nadhani ujumbe umewafikia.