Tukikutana msibani usijifanye unanijua sana na kupeleleza maisha yangu

Punguza jazba braza, huku mchezo hauitaji hasira.
 
Vipi hata msiba ukiupotezea kabisa wasikuone mazima?
 

Mkuu kwanini unaonekana kuandaa miadi kukutana msibani ukiwa mzima tu?

Miadi misibani haipendezi kwani kufa hakuna mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…