Tukimaliza mjadala wa magorofa tuhamie kwenye vituo vya mafuta vinavyojengwa kwa wingi karibu na makazi ya watu

Tukimaliza mjadala wa magorofa tuhamie kwenye vituo vya mafuta vinavyojengwa kwa wingi karibu na makazi ya watu

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Tukimaliza issue ya Maghorofa Kariakoo tugeukie na Petrol Stations zinazojengwa kama njugu mitaani

Uzi tayari…
 
Broo sijui kama wale watu watakuelewa, ila uko sahihi sana. Siku kisima kikilipuka, na kwa jinsi vilivyo kwenye makazi ya watu, tutatafutana sana.
 
Back
Top Bottom