Teko Modise JF-Expert Member Joined May 20, 2017 Posts 2,331 Reaction score 7,733 Nov 17, 2024 #1 Tukimaliza issue ya Maghorofa Kariakoo tugeukie na Petrol Stations zinazojengwa kama njugu mitaani Uzi tayari…
Tukimaliza issue ya Maghorofa Kariakoo tugeukie na Petrol Stations zinazojengwa kama njugu mitaani Uzi tayari…
Lord Delamere in Kenya JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 3,988 Reaction score 8,021 Nov 17, 2024 #2 Broo sijui kama wale watu watakuelewa, ila uko sahihi sana. Siku kisima kikilipuka, na kwa jinsi vilivyo kwenye makazi ya watu, tutatafutana sana.
Broo sijui kama wale watu watakuelewa, ila uko sahihi sana. Siku kisima kikilipuka, na kwa jinsi vilivyo kwenye makazi ya watu, tutatafutana sana.