PostGE2025 Tukimalizana na Wasanii, wanaofuata ni Wachungaji na Makanisa yao ya kitapeli

PostGE2025 Tukimalizana na Wasanii, wanaofuata ni Wachungaji na Makanisa yao ya kitapeli

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Kama tumeamua kuisafisha nchi hawa watu ni hatari zaidi ya wasanii. Wasanii wao wanatafuta pesa kwa njia yeyote hata kwa kuungana na wauaji they don't care kulingana na shule zao za hapa na pale.

Wachungaji wao (sio wote) wengi wamesoma ili watapeli watu, mbali ya kutafuta pesa kwa ushirikina na damu za watu, wanawapumbaza kabisa wananchi wasifikirie wala kujali hatima ya nchi yao na hatima yao wenyewe, unakuta mtu kapumbazwa kwa maji ya upako sijui yupo radhi atoe sadaka ya elfu 5 kwa Mwamposa watoto wake walale njaa na yeye arudi nyumbani kwa miguu.

Ogopa sana nabii mfanyabiashara ni zaidi ya tapeli la viwanja yeye anatapeli mwili, roho na akili.

CC. Masanja Mkandamizaji.
 
Wasanii wa Tz wanaharibu kizazi chetu
Amber luty alijirekodi akifirwa
Nandy nae alivujisha tupu zake
Gigy money ...
Uwoya......
wakiume wngi wao wametoboa pua kama sio wote basi ni mmoja au wawili tu.
Wengi wao tetesi zinasema wanapumliwa okisijeni kisogoni mfano wa wazi wazi ni Ommy dimpoz toto la kigoma.

Inasemekana pale usafini wanakoboana kama hawana wazazi mitaro inazibuka daily
 
Kama tumeamua kuisafisha nchi hawa watu ni hatari zaidi ya wasanii. Wasanii wao wanatafuta pesa kwa mgongo wa damu za watu they don't care, manabii wao mbali ya kutafuta pesa kwa damu wanawapumbaza kabisa wananchi wasijue hatima ya nchi yao na hatima yao wenyewe, mtu yupo radhi atoe sadaka ya elfu 5 kwa Mwamposa watoto wake walale njaa na yeye arudi nyumbani kwa miguu.

Ogopa sana nabii mfanyabiashara ni zaidi ya tapeli la viwanja yeye anatapeli mwili na roho.

CC. Masanja Mkandamizaji.
baada ya kumalizana na hawa matapeli tunaelekea kwenye media na watangazaji *******, kuna maquma flani ya itv juzi tarehe 9 na 10 yalikuwa yanatamba sana mtaani nayatamani haya mapunga miee.
 
baada ya kumalizana na hawa matapeli tunaelekea kwenye media na watangazaji *******, kuna maquma flani ya itv juzi tarehe 9 na 10 yalikuwa yanatamba sana mtaani nayatamani haya mapunga miee.
Upo sahihi tusiishie kwa wasanii na media twende hadi kwenye vilabu vya mpira.
 
Wachungaji feki wapo wengi sana ,serikali ilifanya la maana kumfukuza mmoja wapo Dominic Dibwe Kiboko ya wachawi Buza Kwa Rulenge ila wapo wengi wamebakia.
 
Mwamposa, Kuhani Mussa, Hananja, Masanja mkandamizaji hawa lazima tuzae nao
 
Back
Top Bottom