baada ya kumalizana na hawa matapeli tunaelekea kwenye media na watangazaji *******, kuna maquma flani ya itv juzi tarehe 9 na 10 yalikuwa yanatamba sana mtaani nayatamani haya mapunga miee.Kama tumeamua kuisafisha nchi hawa watu ni hatari zaidi ya wasanii. Wasanii wao wanatafuta pesa kwa mgongo wa damu za watu they don't care, manabii wao mbali ya kutafuta pesa kwa damu wanawapumbaza kabisa wananchi wasijue hatima ya nchi yao na hatima yao wenyewe, mtu yupo radhi atoe sadaka ya elfu 5 kwa Mwamposa watoto wake walale njaa na yeye arudi nyumbani kwa miguu.
Ogopa sana nabii mfanyabiashara ni zaidi ya tapeli la viwanja yeye anatapeli mwili na roho.
CC. Masanja Mkandamizaji.
sio sadaka tuu, tia hata vibao na makwenziWachungaji na viongozi wa dini wahuni nao ni kuwanyima sadaka mpaka wanyooke
Hali ya maisha itawatia vibokosio sadaka tuu, tia hata vibao na makwenzi
Upo sahihi tusiishie kwa wasanii na media twende hadi kwenye vilabu vya mpira.baada ya kumalizana na hawa matapeli tunaelekea kwenye media na watangazaji *******, kuna maquma flani ya itv juzi tarehe 9 na 10 yalikuwa yanatamba sana mtaani nayatamani haya mapunga miee.