Tukimkamata Atapata Adhabu Kali:Nini Maana ya Msemo Huu Upendwao Sana na Jeshi la Polisi?

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,265
Nimesikia mara nyingi maafisa mbalimbali wa polisi wakionya wahalifu kwa kusema: Atakayekamatwa kwa kosa....... atapata adhabu kali. Nikisikia hivyo huwa najiuliza: Adhabu hutolewa na jeshi la polisi au mahakama? Na kama ni mahakama, je, hakimu ana discretion katika utoaji wa adhabu kali?
Kwa uelewa wangu mdogo wa sheria najua kwamba kila kosa (jinai) lina adhabu yake kisheria. Sasa hiyo adhabu kali mapolisi wanayoizungumzia inatoka wapi?
Hebu wataalamu wa sheria naomba muujadili huu msemo upendwao sana na jeshi la polisi.
 
hii ndio tanzania mkuu presumption of innocent no more mkubwa...yaan tz hata kuisaidia polisi watu wanaogopa kikubwa police inabidi waende shule thus is why hapa UDSM kuna course ya law enforcement kidogo wanasoma na kuelewa human rights na handling of accused hopeful on few year to come somehow problem can be reduced
 
Asante kwa kunipanua mawazo alteza.
 
Last edited by a moderator:
siua yanatumika na wana siasa kwanza huwaga ni mambumbu ya sheria,na nyingine yanakwambia eti mimi ni mwana jesh mstaafu jihazalini na hawa wanao pita pita mitaan kiharibu amani yetu,sasa muharibifu wa amani ni nani? we unawanyima haki zao una sababisha maisha magumu halafu leo unaitafuta amani!!!!!
 
Mhhhh???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…