Uchaguzi 2020 Tukimkata watasema tumemuogopa na tukimuacha atatusumbua: Ndio mtihani walio nao NEC kwa sasa kuhusu Tundu Lissu

Lord denning,

kamwe ibilisi hawezi kushindana na Mungu, sasa nimemwona Mungu kupitia TL risasi 16 katika mwili wa nyama lakini bado yupo hai, hakika jina la Mungu liinuliwe na tena na tena.
 
Niamini mimi Magufuli atashinda na maisha ya kubanwa koo yataendelea kama ilivyo kawaida.

Wewe unawachezea watu wapole akifanya makosa Tanzania itakuwa kama Somalia Nyerere alisema hakuna nchi ilikuwa na amani kama somalia yakafanyika makosa ya kudharau raia hadi leo inatawaliwa na ma warlords.
 
Wewe unawachezea watu wapole akifanya makosa Tanzania itakuwa kama Somalia Nyerere alisema hakuna nchi ilikuwa na amani kama somalia yakafanyika makosa ya kudharau raia hadi leo inatawaliwa na ma warlords.
Ujasiri wa wasomali, Watanzania hawana.
 
Thubutu yenu. Ndo mtaijua nguvu ya umma ni nini!!! Jaribuni tu. Tuko tayari kupigwa risasi wote
Licha ya nguvu ya umma, wawe na sababu za kuridhisha kumjibu mr Amsterdam, mwanasheria wa Lissu.
 
Hilo halitatokea kamwe, tunza hii comment yangu.

Ikiwa kinyume chake naahidi kumpa mhitaji Tsh Laki moja kwa niaba yako
Wale wanajeshi wanaongeza kura za CCM, mwaka huu mmewandalia Ribena au orange juice?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…