Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Sio kila homa ni Malaria, ccm hatuwezi kukabidhi madaraka kwa hivyo visanduku vya kuuzia maandazi.Kwani tarehe 27 alipowasili shujaa tulikuwa kwenye keyboard za Airport na Dar au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kila homa ni Malaria, ccm hatuwezi kukabidhi madaraka kwa hivyo visanduku vya kuuzia maandazi.Kwani tarehe 27 alipowasili shujaa tulikuwa kwenye keyboard za Airport na Dar au?
Sasa subirini mtaona mwaka huu. Tukutane October pale nguvu ya umma itakapoamuasio kila homa ni Malaria, ccm hatuwezi kukabidhi madaraka kwa hivyo visanduku vya kuuzia maandazi.
Niamini mimi Magufuli atashinda na maisha ya kubanwa koo yataendelea kama ilivyo kawaida.Sasa subirini mtaona mwaka huu. Tukutane October pale nguvu ya umma itakapoamua
Na Lori mkamu wanguImbombo ngafu
Mataga Lissu anatisha kiasi hikiWamkate tu, na baada ya hapo ndio atapotea mazima kwenye siasa za Tanganyika.
Maneno tu hayoHilo halitatokea kamwe, tunza hii comment yangu.
Ikiwa kinyume chake naahidi kumpa mhitaji Tsh Laki moja kwa niaba yako
They are suffering from consequencesHawajui washike lipi waache lipi. Shauri yao! Nani aliwaambia wampige risasi?😂😂😂😂
Niamini mimi Magufuli atashinda na maisha ya kubanwa koo yataendelea kama ilivyo kawaida.
Ujasiri wa wasomali, Watanzania hawana.Wewe unawachezea watu wapole akifanya makosa Tanzania itakuwa kama Somalia Nyerere alisema hakuna nchi ilikuwa na amani kama somalia yakafanyika makosa ya kudharau raia hadi leo inatawaliwa na ma warlords.
Magufuli lazima ashinde kwa haki au kwa shari.Maneno tu hayo
Anamtisha nani ?Mataga Lissu anatisha kiasi hiki
Licha ya nguvu ya umma, wawe na sababu za kuridhisha kumjibu mr Amsterdam, mwanasheria wa Lissu.Thubutu yenu. Ndo mtaijua nguvu ya umma ni nini!!! Jaribuni tu. Tuko tayari kupigwa risasi wote
Wale wanajeshi wanaongeza kura za CCM, mwaka huu mmewandalia Ribena au orange juice?Hilo halitatokea kamwe, tunza hii comment yangu.
Ikiwa kinyume chake naahidi kumpa mhitaji Tsh Laki moja kwa niaba yako
Hao tunawapa amri tu na wao wanatekeleza.Wale wanajeshi wanaongeza kura za CCM, mwaka huu mmewandalia Ribena au orange juice?
Mwaka huu wanamsiliza Rais aliyewaahidi kufuata sheria za kazi na kulinda ongezellig la mishahara yao.Hao tunawapa amri tu na wao wanatekeleza.