ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Niliumia pale alipotuacha Carlos Carlinhos tulipoteza fundi,nikasema at least tunaye Ntibazokiza sasa fununu eti tuna mpango wa kumwacha!aisee viongozi msifanye kosa hilo.
Saidor ni fundi anayeweza kumiliki vizuri mpira,mtaalam wa mipira iliyokufa,pasi zake zinamfikia mtu na bado ni mzoefu pia ana vitu vingi pale vya kutupatia hebu mwacheni.
Ni vizuri hivi tunafanya usajiri wa watu wazuri inapendeza pia wawakute wenzao wazuri.
Nina imani msimu ujao hawa jamaa zetu tunaenda kuwapiga hata goli 5 ktk mechi ya mwanzo tu.
Mwananchi.
Hapo ulivyomalizia naona ule mwiko huko nyuma unakuvuruga akiliNiliumia pale alipotuacha Carlos Carlinhos tulipoteza fundi,nikasema at least tunaye Ntibazokiza sasa fununu eti tuna mpango wa kumwacha!aisee viongozi msifanye kosa hilo.
Saidor ni fundi anayeweza kumiliki vizuri mpira,mtaalam wa mipira iliyokufa,pasi zake zinamfikia mtu na bado ni mzoefu pia ana vitu vingi pale vya kutupatia hebu mwacheni.
Ni vizuri hivi tunafanya usajiri wa watu wazuri inapendeza pia wawakute wenzao wazuri.
Nina imani msimu ujao hawa jamaa zetu tunaenda kuwapiga hata goli 5 ktk mechi ya mwanzo tu.
Mwananchi.
Msimu ujao mtapata taabu sana hali hii tu na sarpong tulikua tunawakimbiza sasa kuna mayele,makambo,djuma,kisinda,yacouba aaaahhhhHapo ulivyomalizia naona ule mwiko huko nyuma unakuvuruga akili
Si mlikuwa mnasaidiwa na yule yuda manara sahizi mtakula 5 Kama kawaMsimu ujao mtapata taabu sana hali hii tu na sarpong tulikua tunawakimbiza sasa kuna mayele,makambo,djuma,kisinda,yacouba aaaahhhh
June 1 1968 alikukula 5-0
Anatishia kujamba wakati anaharisha.Jamaa ni mdebwedo alafu anakaza matacko
Huyu Manara alikuwa anacheza namba ngapi au ni zile tuhuma za kuvujisha mbinu za uchawi?Si mlikuwa mnasaidiwa na yule yuda manara sahizi mtakula 5 Kama kawa
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Wewe wala mpira huujui endelea kuropoka tu kama Mzee MpiliMsimu ujao mtapata taabu sana hali hii tu na sarpong tulikua tunawakimbiza sasa kuna mayele,makambo,djuma,kisinda,yacouba aaaahhhh
Huo mwaka huenda ata mshua alikuwa hajazaliwa ila wewe apo juzi tu uliliwa 5 na 4June 1 1968 alikukula 5-0
Mashabiki wa mbumbumbu fc ni washamba, wachezaji kupokelewa Airport ipo mbaka Ulaya Sasa apa Kwetu mbumbumbu fc wanaona ajabu Yanga kupokea wachezaji!!Nasikia mmekubaliana kutokwenda kuwapokea wachezaji Airport [emoji23]mlikuwa mnashangaza sana
Hizo takwimu zake kwanza tutaaminije alete ushahidi hata wa picha tusihadithiweHuo mwaka huenda ata mshua alikuwa hajazaliwa ila wewe apo juzi tu uliliwa 5 na 4
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kuna kupokea wachezaji na kupokea magarasa ,Yanga walikuwa wanapokea magarasaMashabiki wa mbumbumbu fc ni washamba, wachezaji kupokelewa Airport ipo mbaka Ulaya Sasa apa Kwetu mbumbumbu fc wanaona ajabu Yanga kupokea wachezaji!!View attachment 1877706View attachment 1877709
Bro saido ni mgonjwa,anaumia mara kwa mara kutokana na umri wake,yanga wanamuacha bila kupendaNiliumia pale alipotuacha Carlos Carlinhos tulipoteza fundi,nikasema at least tunaye Ntibazokiza sasa fununu eti tuna mpango wa kumwacha!aisee viongozi msifanye kosa hilo.