ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Niliumia pale alipotuacha Carlos Carlinhos tulipoteza fundi,nikasema at least tunaye Ntibazokiza sasa fununu eti tuna mpango wa kumwacha!aisee viongozi msifanye kosa hilo.
Saidor ni fundi anayeweza kumiliki vizuri mpira,mtaalam wa mipira iliyokufa,pasi zake zinamfikia mtu na bado ni mzoefu pia ana vitu vingi pale vya kutupatia hebu mwacheni.
Ni vizuri hivi tunafanya usajiri wa watu wazuri inapendeza pia wawakute wenzao wazuri.
Nina imani msimu ujao hawa jamaa zetu tunaenda kuwapiga hata goli 5 ktk mechi ya mwanzo tu.
Mwananchi.