Tukimwacha Saidor tutakua tumerogwa

Hahaha!!! Tangia nianze kushabikia mpira sijawahi ona yanga anamfunga simba goli tatu nashangaa kuona huyu jamaa anazungumzia goli tano..
1983 Simba kapigwa 3, Makumbi Juma goli moja, Omar Husen goli2, 1984 Makumbi goli 1, Omari Husen 1, Charles Mkwasa 1, 1990 Makumbi 1, kipese 1, Sanifu razaro tingisha 1, Hamis Tobias Gaga penart yake inagonga mwamba, 1999 Iddi Moshi myamwezi (akitokea kwenye fungate baada ya harusi)goli 2, Kalimangonga Ongala goli 1.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…