redio
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 5,813
- 12,921
1983 Simba kapigwa 3, Makumbi Juma goli moja, Omar Husen goli2, 1984 Makumbi goli 1, Omari Husen 1, Charles Mkwasa 1, 1990 Makumbi 1, kipese 1, Sanifu razaro tingisha 1, Hamis Tobias Gaga penart yake inagonga mwamba, 1999 Iddi Moshi myamwezi (akitokea kwenye fungate baada ya harusi)goli 2, Kalimangonga Ongala goli 1.Hahaha!!! Tangia nianze kushabikia mpira sijawahi ona yanga anamfunga simba goli tatu nashangaa kuona huyu jamaa anazungumzia goli tano..