Tukinyimwa misaada na mikopo na kutengwa kimataifa CCM mtandao watanyooka

Tukinyimwa misaada na mikopo na kutengwa kimataifa CCM mtandao watanyooka

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Haijawahi kutokea tangu tumepata uhuru watu wakauoliwa kama mende kisa tu madaraka na ubinafsi.

Kama kiongozi unajua haukubaliki na wananchi hawakutaki ,kwa ninj utumie bunduki kuua raia?

Kwa nini usijiulize wananchi hawanitaki?

Naomba Marekani na mataifa yote makubwa waitenge Tanzania kwa kila namna ili CCM mtandao wanyooke.
 
Utawala huu umekuwa funzo kubwa kwa nchi yetu. Ujumbe pekee muhimu, usithubutu kumpa madaraka mtu mwenye akili ndogo, kwa sababu yeye huamini kila anaposhindwa kupata anachokitaka, inabidi atumie nguvu.

Itabidi kwenye katiba mpya, kwenye sifa za wagombea nafasi za Urais, ni lazima awe ni mtu ambaye katika mafunzo yoyote aliyoyapitia, asiwe aliwahi ku-fail; yaani ni lazima tupate uthibitisho wa kuwa ni high brain. Low brains, mara nyingi huwa madikteta, kwa sababu akili hawana, wanapenda kutumia maguvu kila mahali
 
Back
Top Bottom