Haijawahi kutokea tangu tumepata uhuru watu wakauoliwa kama mende kisa tu madaraka na ubinafsi.
Kama kiongozi unajua haukubaliki na wananchi hawakutaki ,kwa ninj utumie bunduki kuua raia?
Kwa nini usijiulize wananchi hawanitaki?
Naomba Marekani na mataifa yote makubwa waitenge Tanzania kwa kila namna ili CCM mtandao wanyooke.