Tukio ambalo sitakaa nilisahau

hahahahaaaa nimecheka jf hapana chezea
 
Yaani mkuu nikitumia nguvu kubwa sana kukung'uta ile redio maana yule mzee akiniaminisha sana kuwa ndani mle hao wanyama wapo na nguvu nilotumia ni kubwa hata kama wangekuwepo ningechanganya ubongo zao kiwiliwili maana nilipiga kwa ngucu zangu zote!! Ebu emagine shoka ubebee juu kwa nguvu zite upige nalo redio [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Uwezo wako wa kunyanyua Shoka na kuvunja redio kisha kupanda ngazi na kukimbilia juu ya mti inaonyesha kabisa kiumri ulikua umeshakua sema ulichelewa tu kupata akili!
 
Nilikua nasikiliza Mpira,sasa mchezaji mmoja akafunga goli lakini refa akalikataa eti mchezaji alikua "Ameotea"

Nikashangaa sana na kujiuliza;

"Hivi huyu refa alijuaje kama huyu mchezaji aliota kua leo atafunga goli?"

Utoto raha sana..!!

hahahahahah duuuh
 
Nilikua nasikiliza Mpira,sasa mchezaji mmoja akafunga goli lakini refa akalikataa eti mchezaji alikua "Ameotea"

Nikashangaa sana na kujiuliza;

"Hivi huyu refa alijuaje kama huyu mchezaji aliota kua leo atafunga goli?"

Utoto raha sana..!!

Nipo kijijini nabofya Kitecno changu necheka hadi basi.
Wenzangu wananishangaa!!
Ubarikiwe!!
 
Umecheka nini mkuu[emoji134] [emoji134]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haaa jamaniiii[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…