hii nayo iliniuma sana aseeQualifier match Tanzania Vs Mozambique... Itukagongwa goli dk ya kwanza,... Nilivua Tshirt ya serengeti nikatoka uwanjani nikarudi zangu pugu.
Ndio mara ya kwanza na ya mwisho kuwa mshabiki mnazi wa mpira, nimebaki kuwa mwangaliaji tu tangu siku hiyo sina tena mhemko
Nakumbuka goli la the blues lilifungwa na Essien na Barca walikuwa hawajapiga shuti lolote kwenye lango la Chelsea, ila hilo la Iniesta ambalo lilizaa goli. England Chelsea ndo anamweza BarcaChelsea vs Barcelona 2009 UEFA..Iniesta anasawazisha..da ilikuwa noma
Pondamali alichukuliwa hatua gani???[emoji23]Mwaka 1989 shamba la bibi yanga na pan AfricAn ilikuwa ile game yanga akishinda ana chukua Kombe ,wakati yanga ana ongeza moja bila dakika Za majeruhi juma pondamali alidaka mpira Kama kawaida yake mbwembwe nyingi aka mrushia mpira Kwa nyuma victor mkanwa mshambuliaji hatari wa African sport hakika aligeuka fasta na kusawazisha gori,baada ya hapo mpira ukaisha na Simba bingwa yanga tuka ludi na udhuni na Tishety zetu yanga bingwa 1989
Mimi iliyoniuma ni ile 3-1 dah noma Sana. Siku ile man utd angeshinda mji usingekalika tulijiandaa vya kutosha kushangilia.Man u vs Barcelona
Uefa final...zote mbili....hakikaa hakuna muda kwenye Mpira nliumia kama huu