Tukio gani la football liliwahi kukutoa machozi

Tukio gani la football liliwahi kukutoa machozi

kidaganda

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2013
Posts
2,995
Reaction score
2,572
Ni tukio gani au mechi ipi ilishawahi kukuliza au kukutoa machozi.
Brazil vs holland worldcup 98,holland anakufa kwa penati baada ya mechi ngumu sana,pira mwingi,ufundi mwingi,striker wakali,beki kali,viungo wakali,makipa makini.

Tukio la Pili

Asamoah Gyan anapokosa kutupeleka wa Afrika kwenda nusu fainali ya kombe la dunia kwa mara ya kwanza tena kwenye ardhi ya Afrika..na hapo chuki yangu na Suarez na washirika wake ndipo ilipozaliwa na haitokoma.
 
1476112640855.jpg
 
Qualifier match Tanzania Vs Mozambique... Itukagongwa goli dk ya kwanza,... Nilivua Tshirt ya serengeti nikatoka uwanjani nikarudi zangu pugu.
Ndio mara ya kwanza na ya mwisho kuwa mshabiki mnazi wa mpira, nimebaki kuwa mwangaliaji tu tangu siku hiyo sina tena mhemko
 
hii nayo iliniuma sana asee
 
Mwaka 1989 shamba la bibi yanga na pan AfricAn ilikuwa ile game yanga akishinda ana chukua Kombe ,wakati yanga ana ongeza moja bila dakika Za majeruhi juma pondamali alidaka mpira Kama kawaida yake mbwembwe nyingi aka mrushia mpira Kwa nyuma victor mkanwa mshambuliaji hatari wa African sport hakika aligeuka fasta na kusawazisha gori,baada ya hapo mpira ukaisha na Simba bingwa yanga tuka ludi na udhuni na Tishety zetu yanga bingwa 1989
 
Senegal vs uturuki 2002 world cup Japan /korea s. Mansiz anafunga goli extra time na mpira unakwisha hapo hapo. Ghana vs Uruguay, gyan anakosa penalti dk za mwisho WA SA 2010. Tanzania vs Zambia fainali za mataifa ya Africa kwa wachezaji wa ndani 2009.
 
penalt ya Victor ikpeba (Nigeria)vs Cameron Fainali
 
1. Man Utd Vs Man City. Tulipigwa 6-1. Zilipofika 4 nikashindwa kuvumilia nikasepa zangu. Nikazima simu nikalala.
2. Fainali ya Kagame Simba Vs Yanga. Inapigwa krosi Yondani anaimana sijui nani yule asamoah akapiga kichwa ndani. Dah niliumia Sana. Nikitoka uwanjani nikarudi home kulala.
 
Man U vs Real Madrid.
Luis Nani anapewa kadi nyekundu na Madrid wanapata nguvu na kusawazisha kupitia Modric baadae CR7 anafanya yake.
 
Juventus kutoka draw na kusababisha nikapoteza hela ya matumizi chuoni 2013
 
Mwaka 1989 shamba la bibi yanga na pan AfricAn ilikuwa ile game yanga akishinda ana chukua Kombe ,wakati yanga ana ongeza moja bila dakika Za majeruhi juma pondamali alidaka mpira Kama kawaida yake mbwembwe nyingi aka mrushia mpira Kwa nyuma victor mkanwa mshambuliaji hatari wa African sport hakika aligeuka fasta na kusawazisha gori,baada ya hapo mpira ukaisha na Simba bingwa yanga tuka ludi na udhuni na Tishety zetu yanga bingwa 1989
Pondamali alichukuliwa hatua gani???[emoji23]
 
Back
Top Bottom