Tukio gani la Kimchezo hutalisahau mwaka 2023? Tupia picha tulione

Tukio gani la Kimchezo hutalisahau mwaka 2023? Tupia picha tulione

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
2,224
Reaction score
4,472
Tukiwa tunaelekea kumaliza Mwaka wa 2023 nawakaribisha wanamichezo wote wa Jukwaa hili tukaribie hapa.

Naomba Tuweke Matukio ya Kimchezo katika picha ambayo yametokea kwa Mwaka huu 2023 ambapo tukio hilo hutalisahau.

Tukio linaweza kuwa la Football, Boxing, Tennis, Basketball, nk, we tupia tu.

Ila angalizo ni picha tu kusiwe na maneno mara tabuleleee au kono la nyani.😁😁

We post picha tu, watu watajua ni tukio gani hilo.
 
IMG_20231227_010949_377.jpg
 
5th November 2023
 

Attachments

  • 907501E2-8C4C-42A9-95B7-2DD7A950E82D.jpeg
    907501E2-8C4C-42A9-95B7-2DD7A950E82D.jpeg
    99.9 KB · Views: 4
Back
Top Bottom