Jaalut
Member
- Jan 18, 2020
- 72
- 245
Habari zenu.
Inafahamika kwamba hakuna jambo gumu kama mtu mzima kutokwa na machozi.
Kuna siku nilala halafu nikiwa usingizini nikaota ndoto ambayo ilinifanya nilie sana, kiasi kwamba mpaka nilipozinduka toka usingizin niliendelea kulia kwa uchungu sana mpaka nikajishangaa, na hilo ndio tukio langu la mwisho lililosababisha nilie.
Wahenga walisema "ukiona mtu mzima analia ujue kuna jambo"
JE, WEWE NI TUKIO GANI LA MWISHO LILILOSABABISHA ULIE?
Sent using Jamii Forums mobile app