Isn't it a sham?m nakumbuka enzi hzo nko 4m2 nimetoka zangu skonga nikafika maskani nikamsalimia mama na baba then nikala chakula nikaingia kulala mida kama ya saa kumi jioni bna ee si nikawa naota kuwa nko shule mi kuamka saa kumi na mbili jioni nikajua nimechelewa shule bas nikawa bize kweli nikatinga nguo za shule nko fastana nikampa salam mshua nikajua ni asubuhi mshua nae akaniacha tu nikatembea umbali kidogo ndo nashtuka kumbe jua linazama
😂😂 Hii haikuwa bangi hii..?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii kawaidaa sana mbonaaWenge la kupiga bao kwenye paper.
Almost limekata saa 1 bila kufanya kitu ilikuwa Engineering drawing paper masaa matatu.
Wakati kichwani mchoro tayari nimeuchora na naona ndani ya dakika 20 naweza kumaliza ila nashangaa muda wote huo natembeza cursor wala sijaanza.
Nilijizuia kupiga bao ila mara ndio hivyo baada ya pale akili ilikaa vyema dakika 20 nyingi nikamaliza.
Nilikuwa nasikia wanangu kupiga bao kwenye paper nilikuwa nahisi walikuwa wanawaza ngono aisee mambo si hivyo.
🤣🤣 Mkuu ilikuwa nini shida..? Hukua hata na kioo..? Au ulipigwa kibuti.. na isitoshe ulikuwa umegeuza shati na unapovu sikioni huku ukienda kazini unaongeaongea..😂Niligeuza shati nikatoka nyumban mpaka ofsini huku nikiwa na sabuni kwenye maskio yaani sikuoga vzuri
Hamna kulikuwa kuna ugeni mkubwa unaoambatana na ukaguzi[emoji1787][emoji1787] Mkuu ilikuwa nini shida..? Hukua hata na kioo..? Au ulipigwa kibuti.. na isitoshe ulikuwa umegeuza shati na unapovu sikioni huku ukienda kazini unaongeaongea..[emoji23]
Kama jina lakoIlikuwa ni mchana Nilikojolea sufuria la mchuzi msibani nikizani choo cha public nilikuwa nimelewa sana wamama waliokuwa wanaanda msosi walishika kichwa