Trainee
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 2,660
- 3,501
Isn't it a sham?m nakumbuka enzi hzo nko 4m2 nimetoka zangu skonga nikafika maskani nikamsalimia mama na baba then nikala chakula nikaingia kulala mida kama ya saa kumi jioni bna ee si nikawa naota kuwa nko shule mi kuamka saa kumi na mbili jioni nikajua nimechelewa shule bas nikawa bize kweli nikatinga nguo za shule nko fastana nikampa salam mshua nikajua ni asubuhi mshua nae akaniacha tu nikatembea umbali kidogo ndo nashtuka kumbe jua linazama