Tukio gani lilikukuta huwezi kulisahau maishani mwako yote.

Tukio gani lilikukuta huwezi kulisahau maishani mwako yote.

Ultimate

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2016
Posts
739
Reaction score
1,888
Dha sitokuja kusahau,
kuna kipindi tulikua tumepanga sehem kulikua kuna wapagaji kawa 4 tulikua tuna share choo na bafu, kuna siku nilichelewa kulala nilikua naangalia movie usiku, mida kama saa 5 au 6 kasoro nikasema ngoja niende Toi nika koj*e chap nije niendelee kucheki movie, nilivyo kua naenda unajua tena ili usipitwe sana unabidi uende speed dk sifur usha rudi sasa mm na speed zangu nikavamia mlango wa Toi nikajikuta ndan toba lamtuba!!! ile naangalia mbele dhaa kuna mtu mdaa mtu mzima alikua anafanya yake aise yani dhaa nilihishiwa nguvu mkoj* ukakata, yani mpaka leo nikitaka kuingia choo cha ku-share lazima nigonge hodi halafu nisikilizie kwanza sito sahau kesho yake nikaenda kijijini kuwa salimia bibi na babu kwa maana kulikua hamna namna
 
Back
Top Bottom