Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Nakumbuka tulivyokuwa darasa la tatu mwalimu wa sayansi kimu alituambia tulete jiko na sufulia mie nikachagua kuleta sufulia nikaleta sufulia kubwa kwa maesabu yangu tutapika chakula kitabaki nitaonsoka nacho home kufika muda wa kupika walimu alitufundisha jinsi ya kuchemsha maji ya kunywa nilikasilika sana