Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,366
- 5,209
Polisi wa Tanzania wapo very biased. Hawafanyi kazi kwa weledi. Wanafanya kazi kwa mihemuko na ushabiki
Mtu anampiga mtu ambae ni kocha na alipaswa kupewa heshima na ulinzi.Anarekodiwa mbele ya kamera na anafamika lakini mpaka sasa hajakamatwa.
Police wapo kwa ajili ya kukamata wanachama na wafuasi wa Chadema tu.