Tukio kuuuubwa la burudani linakuja, Wasafi beach party, hii si ya kukosa.

Nawatakia kheri wcb kwenye show yao nitajihidi nikirudi nyumbani siku hiyo nijumuike kuwasapoti vijana wenzetu
 
Karibu sana,maana nje ya muziki kutakuwa na matukio mengine yakifanyika,kama kuogelea na mapicha picha na watu mbalimbali.
Bro inabidi wasafi wakulipe kwa promo uliyowapigia
 
Darasa ni mtoto anaekua kwa wcb bado sana
Nashukuru siku hizi mnaanza kumsahau yule msanii wa sony
Sikuizi anaonekana kwenye matamasha ya kabumbu maveteran uganda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…