rama bendu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 310
- 220
Usiwe na hofu mdogo wangu utasikiza tu. Haya maisha kila mmoja na lakeHa ha ha... bora nisklze zangu ngoma nzuri hiyo ya AJE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiwe na hofu mdogo wangu utasikiza tu. Haya maisha kila mmoja na lakeHa ha ha... bora nisklze zangu ngoma nzuri hiyo ya AJE
bila Darasa haji mtu hapo.
Bro inabidi wasafi wakulipe kwa promo uliyowapigiaKaribu sana,maana nje ya muziki kutakuwa na matukio mengine yakifanyika,kama kuogelea na mapicha picha na watu mbalimbali.
Unadhani hawamlipi?Bro inabidi wasafi wakulipe kwa promo uliyowapigia
Ndomana hajajibu ila kazi nzuri anafanya kupambana na mashabiki wa kiba siyo kazi ndogoUnadhani hawamlipi?
Mbona wananilipa,hebu cheki ngoma kali kama hii, sio malipo hayo ....???