Tukio la Aucho kumpiga Ajib mwamuzi alionekana tangu mwanzo anafuata maekekezo

Coastal union wana bahati kutokupata kadi nyekundu,

Kile kitendo cha refa kufuta kadi ya njano ya kwanza ya mchezaji wa coastal na kumuonesha njano nyingine alimpendelea mno maana ile ilikuwa yellow card ya pili na ni red card direct.
Jana Coastal wamecheza mpira wa hovyo sana, rafu zingine zilikuwa hatari na za nje nje kabisa.

Coastal nadhani waliambiwa waumize wachezaji wa Yanga, maana ule sio mchezo.

Ndio Aucho ile ilikuwa red, ila Coastal kuna wachezaji si chini ya wawili walikuwa wanastahili umeme pia.
 
ajibu alimkanyaga aucho kwa makusudi
 
Jamaa wana mpira wa Kishamba mnoooo...
 
Unasemaje zile offsides za mchongo alizokuwa anawazingua Yanga?
 
Hiko kipindi cha kwanza ulishindwa nini kumfunga Yanga na ukumbuke wewe ndio ulichomoa goli bila kusahau hata umiliki wa mpira ulikuwa hoi bin taaban.
Ile first half Simba alipigishwa nusu uwanja.
 
Pole sana kwa maumivu uliyo nayo unateseka ukiwa wapi? Tatizo lenu Simba mnapenda kujiona kuwa nyie ni Bora na Timu kubwa kitu ambacho siyo.
 
Never attribute to malice that which is adequately explained by stupidity.
 
ile kona ambayo Simba walipata goli Aucho alimpiga Kanoute sema attention ilikuwa simba wamepata goli.
 
ile kona ambayo Simba walipata goli Aucho alimpiga Kanoute sema attention ilikuwa simba wamepata goli.
Mipira yetu, kivyetu vyetu...bora yeshe yakhe,

Uzuri wetu ambao tunagundua makosa ni wale ambao tunapata wasaa wa kuangalia marudio, ila trust me kwa uono wa refa ambaye anakuwa uwanjani + presha ya mchezo ni ngumu sana kuwa [emoji817] perfect katika kufanya maamuzi.

All in all, wengi wao wanajitahidi katika kusimamia sheria 17 za mchezo wa mpira wa miguu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…