Capital G
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 3,445
- 5,336
Jana Coastal wamecheza mpira wa hovyo sana, rafu zingine zilikuwa hatari na za nje nje kabisa.Coastal union wana bahati kutokupata kadi nyekundu,
Kile kitendo cha refa kufuta kadi ya njano ya kwanza ya mchezaji wa coastal na kumuonesha njano nyingine alimpendelea mno maana ile ilikuwa yellow card ya pili na ni red card direct.
Coastal nadhani waliambiwa waumize wachezaji wa Yanga, maana ule sio mchezo.
Ndio Aucho ile ilikuwa red, ila Coastal kuna wachezaji si chini ya wawili walikuwa wanastahili umeme pia.