Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Nimewahi ndiyo. Unadhanu kujenga jengo la serikali ni kama kujenga kibanda chako cha mlinzi?Hivi mkuu ushawahi kujenga au ilimradi na wewe umechangia mada?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimewahi ndiyo. Unadhanu kujenga jengo la serikali ni kama kujenga kibanda chako cha mlinzi?Hivi mkuu ushawahi kujenga au ilimradi na wewe umechangia mada?
Ina maana mwenye haukumulika hicho kibanda?Mwenge usio na tija kwa nchi zaidi ya uchawi unakula ngapi kodi zetu
Mkuu pale kilipo chuo kwanza ni Shemu ambayo hata ikijenga msingi kozi tatu kibanda hakianguki wastani kibanda kile hakizidi matofali 800 halafu kokoto tani 7 yaani kuanzia msingi hadi lenta mifuko 8cement yaani kwa kifupi wamepigaNimewahi ndiyo. Unadhanu kujenga jengo la serikali ni kama kujenga kibanda chako cha mlinzi?
Mkuu pale kilipo chuo kwanza ni Shemu ambayo hata ikijenga msingi kozi tatu kibanda hakianguki wastani kibanda kile hakizidi matofali 800 halafu kokoto tani 7 yaani kuanzia msingi hadi lenta mifuko 8cement yaani kwa kifupi wamepiga
Hiyo 1.6 ml. ya VAT imetokana na shilingi ngapi?Mkandarasi amejitahidi sana. Kwa kile kibanda inazidi mil 11. Ukumbuke hapo kwenye mil 11 kuna kama 1.6mil ya VAT.
Watu wanapelekeshwa tu kama kasuku. Lakini kile kibanda kitazidi hiyo bei ya mil 11. Tuache ushabiki
Mil 11 inayosemwaHiyo 1.6 ml. ya VAT imetokana na shilingi ngapi?
Nadhani itakua umefanya hesabu pamoja na hela iliyoibiwa
Mkurugenzi ahojiwe mana ujenzi huo yeye anaujuwa,mhandisi anajuwa na kama kuna kamati nayo ihojiwe.Habari zenu wanajukwaa.
Pia soma > Upigaji Uyui: Waziri Mkuu ashangazwa kibanda cha Mlinzi VETA kujengwa kwa Tsh. milioni 11, aagiza waliyosimamia ujenzi kukamatwa
Suala lililoshika kasi sana jana tarehe 08/09/22 ni sakata la kibanda cha mlinzi huko Uyui mkoani Tabora kugharimu milioni 11 za kitanzania
Katika hali isiyo ya kawaida eti mkuu wa mkoa nae anakua mkali kuhoji. Sasa anahoji nini wakati alitakiwa ahojiwe? Hapo balozi Batilda amepwaya na aibu kubwa sana kwake. Hii inatoa taswira kwamba viongozi wote waliohusika niwazembe au wamegawana fedha hizo za tozo
Hii ni aibu kwa mkuu wa mkoa kwenda na waziri mkuu kwenye mradi ambao yeye hajawahi hata kujua gharama ya mradi hata wa kibandatu cha mlinzi!!! Aibu kubwa sana kwa mkuu wa mkoa wa Tabora
Kama ambavyo waziri mkuu ametoa maelekezo kwa TAKUKURU kufanya uchunguzi inabidi waanze na mkuu wa mkoa na wasaidizi wake kwenye masuala ya ujenzi ndio itapatikana picha kamili.
Ingekuwa kuna uwajibikaji wa dhahiri,mkuu wa mkoa na timu yake wangepisha uchunguzi
Haiwezekani tozo zikaliwa kizembe kiasi hicho
Asante mkuu kwa kuchangia madaMkurugenzi ahojiwe mana ujenzi huo yeye anaujuwa,mhandisi anajuwa na kama kuna kamati nayo ihojiwe.
Hiyo inaitwa LAKUVUNDA LINA UBANITUTA ANDIKA BARUA ZA ONYO TU KWA WAHUSIKA, IMEISHA HIYO