Martin George
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,695
- 1,470
Haijawahi kutokea ila safari hii Manji na Aveva watausikia tu mtanange wa timu zao ama kupitia radio au luningani. Ahsante!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaa........rais wa tls!
Mkuu kanji sio rais ,alishasitaafu ,ila kwa aveva ni kweli yeye bado.raisHaijawahi kutokea ila safari hii Manji na Aveva watausikia tu mtanange wa timu zao ama kupitia radio au luningani. Ahsante!
Manji anahusika vipi na Yanga?Haijawahi kutokea ila safari hii Manji na Aveva watausikia tu mtanange wa timu zao ama kupitia radio au luningani. Ahsante!
Hawa wajinga wanashindwa kuelewa kila siku Manji yupo rumande sio km kiongozi wa yanga lkn Aveva na kaburu wapo ndani km viongozi wa Simba.Manji anahusika vipi na Yanga?
Ila nilimsikia alipoitwa na RC wake alitamka mwenyewe kwamba Makonda hajui kwamba yeye ni Raisi (manji) wa Yanga? Sasa kastaafu lini?Mkuu kanji sio rais ,alishasitaafu ,ila kwa aveva ni kweli yeye bado.rais
alikuwa mwenyekiti hajawahi Kuwa raisiMkuu kanji sio rais ,alishasitaafu ,ila kwa aveva ni kweli yeye bado.rais
Kwahiyo Manji atakuwepo uwanjani leo kama kawaida yake?!!Hawa wajinga wanashindwa kuelewa kila siku Manji yupo rumande sio km kiongozi wa yanga lkn Aveva na kaburu wapo ndani km viongozi wa Simba.
Sent using Jamii Forums mobile app