uberimae fidei
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,679
- 4,283
Sioni kitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumia darubini ya GalileoMbona sioni hato makitu hapa nje. Naona mawingu tu yametanda.
Mnapoteźa muda kwenye mambo ya kubahatishaZimepita dakika 5 sijaona ulicho kisema
Huu uzi nimeuona wakati ambao huyo mkuu alisema kuwa Hilo tukio litatokea... Sio kwamba nilikuwa na subiri huo muda ufikie ili nishuhudie Hilo tukio.. Kwa hyo usiwe na pre judgement za kipuuzi.. Kulingana na akili yako inavyokutumaMnapoteźa muda kwenye mambo ya kubahatisha
dak 40Sioni kitu
hongera magufuli tunaona juhudi zakoInafakamika kila baada ya miaka kadhaa kutokana na njia ya mwezi angani kuna wakati mwezi kupita karibu sana na na Dunia. Hali hiyo ya mwezi kupita karibu na Dunia ndiyo inayoitwa mwezi mpevu sana ambapo mwezi huonekana kwa karibu na kwa uku wa zaidi kuliko nyakati nyingine.
Tukio hili huambatana na kupewa na kujaa kwa maji, tsunami na milipuko ya kivolkano ingawa athari hizi bado zinafanyiwa tafiti zaidi.
dogo anakuona kilazaa haswa 😅😅😅Nmetoka nje kuungalia Dogo ananiuliza unangaalia nn ??? Jua si lile pale !!! 😅
Sawa endelea kusubiri ubashiri utimieHuu uzi nimeuona wakati ambao huyo mkuu alisema kuwa Hilo tukio litatokea... Sio kwamba nilikuwa na subiri huo muda ufikie ili nishuhudie Hilo tukio.. Kwa hyo usiwe na pre judgement za kipuuzi.. Kulingana na akili yako inavyokutuma
Ujielewi.. Ngoja nikupuuzee🚮🚮🚮🚮🚮Sawa endelea kusubiri ubashiri utimie
Mchana mwezi unakuwepo ila unapaswa kutumia vifaa kuangalia Rafiki.Nimeuona,,mawingu yalikuwa yana reflect colour ya zambarau na yellow,,stupid me,nikasema ngoja niuangalie kwa macho😎 direct,,sasa macho yanauma,,🤕🤕
Please check it during night.Sioni kitu