Tetesi: Tukio la kijiografia la mwezi mpevu sana (Supermoon) litatikea Nchini Tanzania siku ya Alhamisi tarehe 7/5/2020 saa 13:45

Mnapoteลบa muda kwenye mambo ya kubahatisha
Huu uzi nimeuona wakati ambao huyo mkuu alisema kuwa Hilo tukio litatokea... Sio kwamba nilikuwa na subiri huo muda ufikie ili nishuhudie Hilo tukio.. Kwa hyo usiwe na pre judgement za kipuuzi.. Kulingana na akili yako inavyokutuma
 
hongera magufuli tunaona juhudi zako
 
Huu uzi nimeuona wakati ambao huyo mkuu alisema kuwa Hilo tukio litatokea... Sio kwamba nilikuwa na subiri huo muda ufikie ili nishuhudie Hilo tukio.. Kwa hyo usiwe na pre judgement za kipuuzi.. Kulingana na akili yako inavyokutuma
Sawa endelea kusubiri ubashiri utimie
 
Nimeuona,,mawingu yalikuwa yana reflect colour ya zambarau na yellow,,stupid me,nikasema ngoja niuangalie kwa macho๐Ÿ˜Ž direct,,sasa macho yanauma,,๐Ÿค•๐Ÿค•
 
Kama hukufanikiwa kuona just calm down jioni angalia mwezi taratibu tu utaona.
 
Nimeuona,,mawingu yalikuwa yana reflect colour ya zambarau na yellow,,stupid me,nikasema ngoja niuangalie kwa macho๐Ÿ˜Ž direct,,sasa macho yanauma,,๐Ÿค•๐Ÿค•
Mchana mwezi unakuwepo ila unapaswa kutumia vifaa kuangalia Rafiki.
Jioni tutaona vizuri jua likizama.
 
Jioni utaonekana vizuri zaidi tuwe na subira
 
Attachments

  • Screenshot_20200507-151517_Chrome.jpg
    58.1 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ