Naomba hizo source mkuu unitumie pmMwezi umekuwa ukihusisha na imani nyingi mno Duniani na hivyo tukio hili linaweza kuwa taashira kwenye masuala ya imani.
Sambamba na masuala hayo ya imani baadhi ya maandiko unahusisha mwezi mpevu sana na ongezeko la watoto Duniani " Baby boom".
Nitumie pm hivyo vyanzoNi tafiti zinaonesha hivyo hakuna fumbo lolote hapo ukitaka vyanzo nitakupatia usome.
Siyo kila kinachotatiza kidogo kuelewa ni fumbo Brother.
This is a geographical phenomenon.
Mm nawafaham watatu tayar wana mimba yaan had corona iishe watarudi nusu..Vinashobo balaaHadi shule zifunguliwe idadi ya wajawazito itaongezeka. Kuna kadenti yuko kidato cha 4 juzi kati kapimwa ana mimba ya wiki 4.
Angalia sasaAisee
Me mpaka sasa sijaona kituAlhamisi tukutane hapa kutoa shuhuda za tulichokiona
Soma thread yote utaziona
Huku unaonekana full.Mbona hamna kitu
Yaweza kuwa chanzo cha ziwa Victoria kufurika kuliko kawaida. 🤔Inafakamika kila baada ya miaka kadhaa kutokana na njia ya mwezi angani kuna wakati mwezi kupita karibu sana na na Dunia. Hali hiyo ya mwezi kupita karibu na Dunia ndiyo inayoitwa mwezi mpevu sana ambapo mwezi huonekana kwa karibu na kwa uku wa zaidi kuliko nyakati nyingine.
Tukio hili huambatana na kupewa na kujaa kwa maji, tsunami na milipuko ya kivolkano ingawa athari hizi bado zinafanyiwa tafiti zaidi.
Yap, naona wingu zito tu,Huku unaonekana full.
Labda mawingu ila utaonekana tu
unaongea nin mzee mbona sikuelew ebu naomba unyooshe kidogoBinadamu wagumu sana kusoma alana za nyakati, mvua zinaendelea huko ukanda wa maziwa mkuu kupelekea ziwa victoria kujaa maji mpaka kuleta mafuriko bado hamjaelewa kinachoendelea?
Kuna jamaa mmoja ananipa habari kutokea sijui ndo wapi huko majita mada, anasema majita yameongezeka mpaka kufika enrolled small toka kuumbwa kwa dunia hawajawahi kushuhudia.
Geita gani hiyo ulikuwa unaangalizia Nyankumbu au Mkoani?Any one in Dar es Salaam to prove..
Hapa Geita umeanza kuonekana