THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Mpaka Jukwaa liitwe Yanga sports ππHahhahaaaaa leo watakoma aiseee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hahahahahahahaha umeisahau na KMCHii Yanga ipo siku itakuja ifanye watu wazima wazichape tena Live na camera za Azam tena watu wenye heshima zao kama wachezaji na kocha.
Leo kocha alinyakua chupa akataka kumtwanga nalo mchezaji aliekua anaonekana ana mshutumu kocha kua yanayotokea pale uwanjan kosa ni yeye
Hii imenikumbusha Novemba 5 M-Hussein alimfata kwa Hasira Manula akatka kumzaba kibao ila akadundisha Mpira chin kwa kuutupa kwa Hasira,
Gamond angali namna Zile team hua unazipiga 5 wale wachezaji wanawake na watoto.
#USIUMIE HUJALAZIMISHWA
Kwa timu ipi ya kuwaza nusu fainali?,acha nikuambie kitu mkuu Yanga ana uwezo mkubwa sana narudia tena yanga ina uwezo mkubwa sana kufika nusu fainali kuliko Simba. Hifadhi hii kauli yanguYanga aisee.. leo nimepita Magufuli stand... nimewakuta mashabiki wanashangilia wanapaluana balaaa.. kisa kuingia robo fainali caf.. wakati upande wa pili hawana hata bashasha wanafikiria namna ya kuvuka nusu fainali... kweli kuna tofauti kubwa sana hapa...
Hii Team itakuja fanya watu wauaneπππHahahaa nashukuru umekuja na hii mada kama tulikua tunawaza wote kumbuka na Kipa Kmc wa mchezaji wake almanusura wazichape
Nahisi Kuna Mda walikua wanajiuliza hii ni National Team au?ππYanga walipiga mpira mkubwa haujawai onekana mpaka waarabu wakapishana hoja
Asante Mkuu yanga hawafurahii Robo wanafurahia Team yao inavyocheza na kutoa vipigo.Yanga aisee.. leo nimepita Magufuli stand... nimewakuta mashabiki wanashangilia wanapaluana balaaa.. kisa kuingia robo fainali caf.. wakati upande wa pili hawana hata bashasha wanafikiria namna ya kuvuka nusu fainali... kweli kuna tofauti kubwa sana hapa...
Asante umenisaidia MkuuKwa timu ipi ya kuwaza nusu fainali?,acha nikuambie kitu mkuu Yanga ana uwezo mkubwa sana narudia tena yanga ina uwezo mkubwa sana kufika nusu fainali kuliko Simba. Hifadhi hii kauli yangu
Walijua ni Real Madrid ya akina Zidane na Figo. Pacome walihisi ni Zidane na Aziz walihisi ni Luisi Figo.Nahisi Kuna Mda walikua wanajiuliza hii ni National Team au?ππ
Wakawa wanajiuliza hawa si Madrid wamechanganyika na Mamelodi?ππWalijua ni Real Madrid ya akina Zidane na Figo. Pacome walihisi ni Zidane na Aziz walihisi ni Luisi Figo.
Mwakarobo anafikiria namna ya kuvuka nusu fainali?! AseeYanga aisee.. leo nimepita Magufuli stand... nimewakuta mashabiki wanashangilia wanapaluana balaaa.. kisa kuingia robo fainali caf.. wakati upande wa pili hawana hata bashasha wanafikiria namna ya kuvuka nusu fainali... kweli kuna tofauti kubwa sana hapa...
Walikua wakimuona PACOME wanajiuliza huyu hajaitwa kweli National Team yakeπKwa ule moto waliopelekewa jana, aisee walistahili kabisa kuparuana.
Ilikua Mwarabu Afe chuma 7Yqnga sio watu wazuri