Nokla
JF-Expert Member
- Aug 12, 2012
- 3,190
- 1,774
Yanga aisee.. leo nimepita Magufuli stand... nimewakuta mashabiki wanashangilia wanapaluana balaaa.. kisa kuingia robo fainali caf.. wakati upande wa pili hawana hata bashasha wanafikiria namna ya kuvuka nusu fainali... kweli kuna tofauti kubwa sana hapa...
Kuvuka nusu fainaili? Kwa timu gani? Ulishindwa kuvuka nusu fainaili hata kombe la loser sembuse cafcl?