pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
- Thread starter
-
- #21
Jombaa naona umeamua uje kisayansi. [emoji1]Ninavyojua ni kuwa mugumo tree ni parasitic na hufyonza madini na chakula kutoka kwa host tree kwa miaka hadi miti yote ikaanguka, sababu ikiwa the host tree dies due to lack of nutrition.
Mti kuanguka unaamini ?? Kuwa kunatukio kubwa watz tukisema Kenya ipo shimoni amtuaminiWazee huwa wanasema ukianguka huwa unaashiria tukio kubwa(positive au negative) linabisha mlangoni. Mti wa Mugumo ambao ulikuwa una miaka 300 ulianguka ghafla kabla ya Kenya kupata Uhuru.
Ila wazeee wa kale walikuwa na uwezo wa ku-predict calamities based on such events, miti hii huchukuwa miaka zaidi ya mia mbili kuanguka na inapotokea ni kweli something big is about to happen given the time frame.Jombaa naona umeamua uje kisayansi. [emoji1]
Boss, This is the problem with you and your ilk.Hii ni kwa wale ambao wameshiba kwa itikadi kali za kikristo na kiislamu, kiasi cha kupuuzilia kabisa uhalisia wa dini za jadi za kiafrika. https://en.m.wikipedia.org/wiki/Mugo_wa_Kibiru Someni mmfahamu nabii Mugo Wa Kibiru aliyetabiri ujio wa mzungu Kenya miaka mingi kabla ya mkoloni kufika pwani ya Afrika mashariki. Alitabiri pia kwamba mti wa Mugumo ambao ulikuwa Thika utakapoanguka mzungu atafurushwa Kenya. Mkoloni alipanick na kuogopa utabiri huo kiasi cha kuujengea mti huo 'support' ya chuma kote kote, ili usianguke lakini haikuzuia kitu. Mti huo wa Mugumo ulipigwa na radi ukanyauka hadi ukaanguka miezi kadhaa kabla ya Kenya kupata uhuru. Sio hadithi za vijiweni hizi, kumbukumbu hii ipo kwenye vitabu vya historia ya taifa la Kenya.
Nani amemtaja Jomo Kenyatta au siasa? Soma tena kichwa cha taarifa yenyewe uone tunaongea kuhusu nini.Boss, This is the problem with you and your ilk.
Mzee Jomo Kenyatta ardent believer in arts of sorcery
Secrets of Kenyatta oaths that set Kenya on the path to ruin
Read Facing Mount Kenya by Jomo Kenyatta and you will be shocked at just how evil the father of Drunkard Uhuru was
Tukio kubwa haimaanishi litakuwa tukio mbaya. Tena mti wenyewe haukuanguka kabisa. Unaongea kuhusu watz gani hao, ama unajiongelea wewe mwenyewe na akili zako za kuazima?Mti kuanguka unaamini ?? Kuwa kunatukio kubwa watz tukisema Kenya ipo shimoni amtuamini
Kweli kabisa mkuu. Nawashangaa sana manabii wa siku hizi, kwenye hizi dini zilizokuja kwa meli, yaani ukiwaona wanafanya utabiri wowote ule, ujue tu hapo tayari mifuko ya kondoo lazima imeshaumia.Ila wazeee wa kale walikuwa na uwezo wa ku-predict calamities based on such events, miti hii huchukuwa miaka zaidi ya mia mbili kuanguka na inapotokea ni kweli something big is about to happen given the time frame.
'Yani huo huo same mti ulianguka kabla ya uhuru, alafu umekuja kuanguka tena juzi juzi hapa, au ni mugumo mwingine ndio uliangukaWazee huwa wanasema ukianguka huwa unaashiria kwamba tukio kubwa(positive au negative) linabisha mlangoni. Mti wa Mugumo ambao ulikuwa una miaka 300 ulianguka ghafla kabla ya Kenya kupata Uhuru.
Miti tofauti, tena sehemu tofauti nchini, mugumo kwa kiingereza ni fig tree huwa unakomaa baada ya miaka kama 200 hivi. Ukianguka huwa haupasuliwi mbao wala kujenga au kuguswa. Huwa unaozea hapo hapo ulipo unaliwa na mchwa. Nashangaa kwanini hata watu wa dini huwa hawadhubutu kuugusa. Hahaa! [emoji1]'Yani huo huo same mti ulianguka kabla ya uhuru, alafu umekuja kuanguka tena juzi juzi hapa, au ni mugumo mwingine ndio ulianguka
Ninavyojua ni kuwa mugumo tree ni parasitic na hufyonza madini na chakula kutoka kwa host tree kwa miaka hadi miti yote ikaanguka, sababu ikiwa the host tree dies due to lack of nutrition.
Ya firauni hayo.And presumably in this case madini yaliyofyonzwa yamerudi!
sioni ukabila hapoOndoeni kwanza ukabila!
ni uzushi tu..wakenya ndiio zaoNo pic, no vid... What the fuc.k is this Uzi!!!