Tukio la kusisimua nililolishuhudia kwa macho yangu katika msitu wa Nairoto

Dah kitoabu ushatukata stimu tena mpaka baadae
 
Mapema tu kama nimeota picha linaendelea saiv[emoji122]
 
Haha mzee aliharibu kivipi Tena?😆😆
 
Sawa
 
Mkuu ni stori ndefu, ila alikuja akashika mchanga uliotok duarani
Mkuu hiyo stori sio mbaya nawe ukishare nasi tukapata ya kujifunza zaidi coz zote zinahusu utafutaji katika swala zima la uchimbaji wa madini ya dhahabu. Naamini kuwa uchimbaji wa madini ya dhahabu unaendana na majini coz mdogo wangu aliokota pete ya dhahabu ina kidani chekundu juu yake baada ya dada wa kiarabu kufungua pochi yake ili atoe nauli na ile pete ikadondoka kwenye siti akiwa anaongea na konda huku akichokonoa chokonoa pochi yake. Dogo baada ya kuichukua alishuka kituo kinachofuata na break ya kwanza kwa bro wake ambaye ni mimi...
Sijui nami niseme nitaendelea Kama mkuu Kitoabu ?😂😂
Basi bhana, baada ya kunieleza nikatoka nae mpaka kwa sonara wa kihindi. Yule sonara baada ya kumuonesha tu alipandisha mashetani, eh alipoanza kupiga kelele kwa maneno ya kiarabu na kutimua mbio na watu wengine wote waliokuwepo pale jumlisha na sisi wote mbio huku nimeishikilia mkononi.
Tukakaa sehemu na mdogo wangu nikimhoji maswali huku nami nikianza kuiogopa ile pete. To cut the story short tukaenda kwa sonara mwingine Kariakoo naye ni muhindi ofisi yake ikiwa inanuka ubani tupu, alipoiangalia akatuuliza mmeipata wapi huku akitukazia macho. Hapa nikaona yasijeyakatokea yaleyale ya kule Ila imani yakupata pesa ilikuwa imenijaa nikamkazia kwa kumdanganya kuwa mama ametupa tuje kuiuza kwasababu anaumwa. Akatuangaliaa Sana huku akiiangalia Ile pete, bila kuipima wala nini akasema nawapa laki 5 na elfu alobaini. Aisee sikutegemea, mi nilijua tutauza laki ikizidi sana laki moja na nusu, Sasa kusema laki tano nikakubali fastaa...
 
Sasa ikawaje baada ya nyie kuchukua fedha?? Au ndio mchezo ukaisha??

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hata ya kienyeji mengine wadau wakawa wanamsaidia tu

Nadhani uandishi ni tatizo siamini kwamba hafahamu ya kitaalamu na ya kienyeji[emoji3]
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…